• FAQ |
    • Staff Mail |
VETA
VETA

The United Republic of Tanzania Ministry Of Education Science And Technology Vocational Education And Training Authority Skilled Labour Force The Future Of Tanzania

  • Home
  • About Us
    • History
    • Institutional Arrangement
    • Organization Structure
  • Training Delivery
    • CBET Approach
    • Institutional Based Training
    • RPL Program
    • Dual Apprenticeship Program
    • INTEP Program
    • SEP Program
  • VET Zones
    • Dar Es Salaam Zone
    • Eastern Zone
    • Western Zone
    • Central Zone
    • South East Zone
    • South West Zone
    • Highland Zone
    • Lake Zone
  • ICT Services
    • VETMIS
    • VCRS
    • GePG
    • VIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI
    • IGAS
    • eVETS
    • VET REGISTERED CENTRES
    • APPLICANTS SELECTION PORTAL
    • VETA SKILLS
    • RPL REPORT
  • Other Website
    • Morogoro Vocational Teachers Training College
    • Kipawa ICT Centre
    • Dual Apprenticeship
    • Kijana Ongea
  • Publications
    • VET Guidlines
    • VET Forms
    • VET Report
    • MAY 2019 FINAL ASSESSMENT RESULTS
  • Media Center
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • News

Timu toka Afrika Kusini yavutiwa na namna VETA inavyorasimisha ujuzi

Posted on: Wednesday, 10 April 2019

Timu ya wataalam kutoka Afrika Kusini imevutiwa na namna Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inavyotekeleza mpango wa Urasimishaji Ujuzi uliopatikana nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) na kuahidi kujipanga kwa ajili ya kuanzisha ushirikiano na VETA katika eneo hilo.

Wajumbe wa timu ya Wakala wa Taifa wa Maendeleo ya Vijana nchini Africa Kusini (NYDA) walibainisha hayo baada ya kupata maelezo ya utekelezaji wa mpango huo nchini wakati wa kikao chao na Menejimenti ya VETA walipotembelea Makao Makuu ya VETA jijini Dar es Salaam, tarehe 2 Aprili 2019 wakati wa ziara yao iliyokuwa chini ya uenyeji na uratibu wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC).

Mkurugenzi Mtendaji wa NYDA, Ankie Motsoahae alisema kuwa wamevutiwa sana na maelezo ya namna VETA inavyoendesha mpango wa RPL na kusema kuwa ingawa nchini Afrika kusini kuna mpango kama huo, lakini utekelezaji haujafanyika kwa kipindi kirefu, hivyo mpango umebaki kwenye nyaraka pekee.

“Kwangu mimi RPL ni jambo la kuondoka nalo. Kama sehemu ya ushirikiano wetu na Tanzania, tungependa kupata uzoefu kuhusiana na RPL. Tunatarajia kuja tena ndani ya miezi miwili ili kurasimisha ushirikiano katika maeneo mbalimbali.” Alisema.

NYDA ina majukumu ya kuendeleza vijana nchini Afrika Kusini na elimu ni miongoni mwa sekta za kipaumbele katika kuwaendeleza vijana. Timu hiyo ya NYDA ilifika nchini kwa ajili ya kubainisha maeneo ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo elimu na ilitembelea baadhi ya taasisi nchini zikiwemo VETA; Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH); Baraza la Michezo Tanzania (BMT); Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA); Wakala wa Huduma za Ajira (TaESA); Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA); Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Chuo Kikuu cha Mzumbe.


Share :

Announcements


  • Dec 04

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vinavyomilikiwa na VETA

  • Aug 06

    FURSA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO KATIKA VYUO VIPYA VYA VETA

  • Jun 17

    TANGAZO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

  • Aug 06

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA VYUO VYA VETA

  • Oct 01

    MATOKEO YA CBA NA NABE KWA MSIMU WA MAY 2019

Publications


  1. VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING AUTHORITY SELECTED APPLICANTS FOR 2020 INTAKE - Dec 2, 2019
  2. RPL ASSESSMENT REPORT 16-09-2019 - Sep 16, 2019
  3. FURSA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO KATIKA VYUO VIPYA VYA VETA - Aug 6, 2019
  4. TANGAZO NAFASI ZA KUJIUNGA NA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA VYUO VYA VETA - Aug 6, 2019

Popular News


  • VETA envisions Tanzania with sufficient and Competent artisans

    Monday, 24 September 2018
  • VETA yakabidhi vifaa vyenye thamani milioni 41 kwenye chuo cha wenye ulemavu

    Monday, 24 September 2018
  • Madereva wasio na VYETI wasio na vyeti waaswa kuchangamkia fursa za mafunzo VETA

    Wednesday, 26 September 2018
  • Fainali za Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu zafunguliwa jijini Dodoma

    Monday, 11 March 2019
  • Jengeni chuo kingine cha Walimu wa Ufundi Stadi-Prof. Mdoe

    Monday, 23 September 2019
  • Mikoa ya Geita,Njombe,Rukwa na Simiyu Kupata Vyuo Vya VETA

    Wednesday, 26 September 2018
  • The VETA Hotel and Tourism Training Institute to introduce tourism courses

    Tuesday, 04 December 2018
  • VETA,CARE na SAGCOT zaingia makubaliano kuimarisha ujuzi sekta ya kilimo

    Tuesday, 04 December 2018
  • Wasichana wahamasishwa kujifunza Ufundi Stadi

    Tuesday, 04 December 2018
  • VETA kuratibu mashindano ya ubunifu wa ufundi stadi, sekta isiyo rasmi

    Tuesday, 04 December 2018
  • Government completes prerequisite setups for construction of VETA Bukoba

    Sunday, 03 February 2019
  • Prof. Ndalichako awataka wakandarasi kuongeza kasi ya ujenzi wa vyuo

    Sunday, 03 February 2019
  • Prof. Ndalichako aahidi kushughulikia uchakavu wa miundombinu ya vyuo vya VETA

    Sunday, 03 February 2019
  • ZAWADI YA VALENTINE KWA VETA Kisarawe yatoa ekari 200 kujenga Chuo

    Monday, 18 February 2019
  • Mhitimu wa VETA Dar es salaam ang’ara katika maonesho ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Monday, 11 March 2019
  • Wanawake wa chuo cha VETA Chang’ombe watoa msaada Kambi ya Wazee NUNGE

    Monday, 11 March 2019
  • VETA YATOA MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

    Wednesday, 13 March 2019
  • Simanjiro waikabidhi VETA chuo cha ufundi stadi

    Thursday, 14 March 2019
  • Magufuli apongeza jitihada zinazofanywa na VETA kupanua mafunzo ya ufundi stadi

    Monday, 08 April 2019
  • Timu toka Afrika Kusini yavutiwa na namna VETA inavyorasimisha ujuzi

    Wednesday, 10 April 2019
  • TANGAZO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    Monday, 17 June 2019
  • VETA Kihonda yatoa mafunzo kwa madereva wa magari makubwa zaidi ya 1500

    Monday, 17 June 2019
  • VETA na Swisscontact zaingia makubaliano kuimarisha mfumo wa upatikanaji wa taarifa za soko la ajira

    Monday, 17 June 2019
  • Wahasibu wakumbushwa kuzingatia maslahi ya umma

    Monday, 17 June 2019
  • VETA yawajengea uwezo watahini 256 kurasimishaji ujuzi kwa mafundi nchini

    Sunday, 04 August 2019
  • Wizara ya Mambo ya Ndani yaahidi kusaidia kuendeleza “Pikipiki Salama”

    Sunday, 04 August 2019
  • Serikali yatenga Bil 40 ujenzi wa vyuo vya Ufundi Stadi vya Wilaya

    Sunday, 04 August 2019
  • VETA yaibuka mshindi katika maonesho ya Sabasaba

    Sunday, 04 August 2019
  • VETA YAANZA KUTOA MAFUNZO RASMI KWA MAFUNDI WA SIMU ZA MKONONI NCHINI

    Wednesday, 04 September 2019
  • VETA kushirikiana na Ujerumani kuwezesha wahitimu kupata ajira

    Tuesday, 24 September 2019
  • VETA yazindua kiwanda cha kisasa cha samani jijini Dodoma

    Monday, 07 October 2019
  • VETA yashauriwa kupanua wigo wa ushirikiano na wadau katika kuendeleza ubunifu

    Monday, 21 October 2019
  • Simanjiro yapata chuo cha VETA

    Monday, 21 October 2019
  • Ndalichako awaomba wawekezaji kuunga mkono ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi.

    Tuesday, 05 November 2019
  • Uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Ndolage na Uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa Chuo cha Kagera RVTSC

    Monday, 02 December 2019
  • MAHAFALI YA SABA YA CHUO CHA VETA CHA MAFUNZO YA HOTELI NA UTALII

    Monday, 02 December 2019
  • Maduki Akamilisha Ngwe ya Uenyekiti wa Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufund Stadi

    Tuesday, 10 December 2019
  • View All

Video

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA MAONESHO YA SABASABA 2018
Video zaidi

Quick Links

  • VETMIS
  • VCRS
  • GePG
  • VIBALI VYA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • IGAS
  • eVETS
  • VET REGISTERED CENTRES
  • APPLICANTS SELECTION PORTAL
  • VETA SKILLS
  • KIJANA ONGEA WEBSITE
  • TANZANIA NATIONAL e-PROCUREMENT SYSTEM (TANePS)

Related Links

  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia
  • NACTE
  • CTI
  • ATE
  • SIDO
  • Prime Ministers Office,Labour,Youth Employment and Persons with Disability

World visitors tracker

hit counter

Contact Us

    VETA HEAD OFFICE

    Address: PO BOX 2849 Dar Es Salaam

    Telphone: +255 22 2863409

    Fax: +255 22 2203156

    Barua pepe: info@veta.go.tz

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 - VETA Head Office