The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) itafanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea jitihada za Serikali katika kuendeleza Elimu ya Ufundi Stadi na Fursa kwa vijana.